Choose the coverage that fits your needs
Monthly Third Party Insurance for your car
Get KSH 1,000 sent to your phone for every night spent in hospital.
Get covered up to 150,000 for accidents, disability or death.
We work with leading insurance companies
Real stories from real people
Nilikuwa hosi siku kumi, na siku mbili baada ya kutoka nikalipwa thao kumi kwa phone yangu. Hospital Cash ilinisaidia sana
Mchakato ulikuwa rahisi sana! Nilijisajili mtandaoni kwa dakika chache na nikapata bima mara moja.
Personal Accident Cover ndiyo ilinibamba. Kazi ya mjengo ni hatari, lakini sasa napiga mboka bila was.
Nilipoteza mum, yeye ndio alikuwa kila kitu. Nilikuwa sijui nianzie wapi. Lakini kupitia Last Expense cover ya Bima Life ambayo alikuwa amechukua, tuliweza kupanga mazishi vizuri na pia nika balance mambo kama rent na mahitaji ya nyumbani. Ilinisaidia sana wakati mambo ilikuwa ngumu.
Sunday morning nikagundua insurance yangu ime expire na agent hapatikani. Nikaingia Bima Life, na hata dakika tano hazikuisha, cover ilikuwa kwa WhatsApp yangu. Asanteni sana!
Corporate insurance solutions across Kenya